Tuesday, July 12, 2011

Mtanzania pekee anyakua nondo ya bachelor of Civil engineering nchini uturuki


Hii ilikuwa sherehe ya mahafali yangu ya kumaliza kozi ya bachelor of Civil engineering ambayo ilifanyika jana katika chuo cha Kharkiv National Municipal Academy kutokana kuwa kozi yangu mtanzania kwenye chuo chetu niko peke yangu hivyo ndio maana huoni watanzania wengine kwenye hiyo picha ya pamoja baada ya mimi Ally Kihara (pichani kushoto) huyo jamaa anatoka Iran, anayefuata anatoka Jordan, Turkumen , Palestina,Sudan na wa mwisho anatoka Aljeria
Habari kwa hisani ya Jiachie Blog

No comments: