Tuesday, July 12, 2011

TWIGA STAR YAREJEA NYUMBANI NA SHANGWE ZA KUTOSHA

Kipa namba moja Fatuma Omary yeye anapenda kujiita (Juma Kaseja)
Baadhi ya wachezaji wakiwa uwanja wa ndege baada ya kuwasili
Twiga Stars wakiwa na Ngao waliopata baada ya kuibuka timu bora

Timu ya Twiga Stars imerudi nyumbani ikiwa imeshika nafasi ya tatu baada ya kuifunga timu ya MALAWI magoli tatu kwa bila.
Picha Na Jane John Blogu

No comments: