Saturday, July 23, 2011

Nyumbani Kwa Marehemu Dany Mwakiteleko Jioni Hii

Ndugu na majirani wakiwa nyumbani kwa Marehemu Dany Mwakiteleko, Tabata, Dar es Salaam jioni ya leo.
Mke wa aliyekuwa Naibu Mhariri Mtendaji wa
Magazeti ya New Habari (2006) (Ltd), Marehemu Danny Mwakiteleko, Winnie,(wa kwanza kushoto) akiwa na waombolezaji wengine nyumbani kwa marehemu Tabata, Dar es Salaam leo.

Ndugu na majirani wakiwa nyumbani kwa Marehemu Dany Mwakiteleko, Tabata, Dar es Salaam jioni ya leo.

Baadhi ya wafanyakazi wa New Habari (2006) Ltd, wakiwa nyumbani kwa marehemu Dany Mwakiteleko Dar es Salaam leo jioni.

Ndugu na majirani wakiwa nyumbani kwa Marehemu Dany Mwakiteleko, Tabata, Dar es Salaam jioni ya leo.Mipango ya mazishi inaendelea kufanyika nyumbani kwa marehemu. 
Picha zote na Victor Makinda

No comments: