Tuesday, July 26, 2011

Rais Jakaya Kikwete Atembelea Kituo Cha Utafiti Naliendele

Rais Jakaya Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Mtafiti Dr Geofrey Mkamilo wa kituo cha Naliendele kuhusu zao la muhogo
Rais Jakaya Kikwete akiangalia chupa ya juice iliyotengenezwa na mabibo ya korosho(cashew apple)katika kituo cha Utafiti Naliendele huku Dr Peter Masawe, Mtafiti Kiongozi wa korosho nchini akimpatia maelezo ya ubora wa kinywaji hicho tarehe



No comments: