Saturday, July 30, 2011

USAILI WA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA WAENDELEA KATIKA UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA LEO

Baadhi ya wanachunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (U-DOM) wakiwa wamepanga foleni ya kuchukua fomu za kiapo cha kutofanya mgomo wa aina yoyote na kufanyiwa usaili pamoja na kupatiwa vitambulisho ili waweze kurudi chuoni na kuendelea na masomo.shughuli hiyo inaendelea hivi sasa kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo.

Afisa wa Jeshi la Polisi akiwataka wanafunzi hawa warudi katika sehemu zao ili shughuli ya usaili iweze kufanyika kwa utaratibu mzuri na amani kabisa.
Baadhi ya Wanafuzi waliochelewa kuchukua namba ya kuingia kwenye usaili huo,wakichungulia kwenye moja ya mageti ya uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
Picha kwa hisani ya Michuzi Blog

No comments: