Wanafunzi wanapoacha masomo na kuvua samaki ziwani
Wanafunzi wa darasa la saba katika shule ya Msingi Manda wilaya ya Ludewa mkoani Iringa wakivua dagaa katika ziwa nyasa ili kutafuta fedha fedha za michango ya mitihani kiasi cha shilingi 600 kwa kila mwanafunzi fedha zilizotakiwa kutolewa kwa ajili ya kulipia chakula cha walimu wanaosimamia mitihani hiyo
Picha na mwandishi Francis Godwin

No comments:
Post a Comment