Wednesday, July 13, 2011

Warembo Wa Miss Redd's Temeke Watembelea Kiwanda Cha Bia Cha TBL

Meneja wa bia ya Redds,Victoria Kimaro(Kushoto),Meneja Masoko TBL,Fimbo Butara(katikati)na Benny Kisaka walipotembelea kiwandani hapo na warembo hao.
Warembo hao wakiwa katika picha ya pamoja.