Saturday, July 23, 2011

ZIARA YA NAPE MOSHI MKOANI KILIMANJARO



KATIBU wa NEC, Itikati na Uenezi Nape Nnauye  akilakiwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Silo  Swai katika mapokezi yaliyofanyika Chekereni mkoani humo. Kushoto ni Katibu wa mkoa  Stephen Kazidi

 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipokea saluti kutoka kwa kijana wa CCM wakati wa mapokezi ya msafara wake, eneo la Chekereni, Vunjo mkoani Kilimanjaro. Wengine ni Mwenkeiti wa CCM mkoa wa Kili, Silo Swai na Katibu wa mkoa  steven Kazidi
Katibu wa NEC CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza baada ya kuzindua tawi la wanachama wa CCM la wasomi wa Chuo Kikuu cha Tumaini (SIMCO), katika mkutano uliofanyika katika mji mdogo wa Himo mkoani Kilimanjaro, jana. Wengine kutoka kushoto, wapili ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro, Vicky Nsilo Swaijaro na  kulia ni Katibu wa CCM  mkoa wa Kilimanjaro  Stephen Kaidi na Mwenyekiti wa Tawi hilo Mijo Laizer  
Wanachama wapya wa CCM tawi la SIMCO wakila kiapo baada ya kupewa kadi na Nape mjini Himo, jumla ya wanachama 108 ktoka chuo hicho walikabidhiwa kadi
Baadhi ya wanafunzi wa SIMCO wakiwa kwenye mkutano na Nape mjini HIMO, wapili kulia ni Rais wa SIMCO Paul Raurent
 Nape akilakiwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Silo swai katika mapokezi yaliyofanyika Chekereni mkoani humo. Kushoto ni Katibu wa mkoa



1 comment:

Anonymous said...

Weka na za kwenye mkutano wa stendi mjini Moshi tafadhali