Sunday, August 14, 2011

BREAKING NEWS..........NYUMBA YA MBUNGE KOMBA INAUNGUA MOTOHabari za uhakika kutoka jimbo la Mbinga Mkoani Ruvuma zilizotua hivi punde katika mtandao huu wa www.frrancisgodwin.blogspot.com zinadai kuwa nyumba ya mbunge Kepten John KOmba iliyopo eneo la Litui Mbinga inateketea kwa moto sasa ,moto ulioanza kuwaka majira ya saa 10 za usiku.Hata hivyo vyanzo vya habari zinaeleza kuwa nyumba hiyo ya kisasa inaendelea kuwaka huku wapiga kura wakijaribu kuizima bila mafanikio habari zaidi itakujia japo tayari kamanda wa polisi wa mkoa wa Ruvuma ameuthibkitishia mtandao huu kwa njia ya simu kuwa katika tukio hilo hakuna aliyejeruhiwa japo mali zote zimeteketea kwa moto na watu waliokuwemo ndani wamenusurika. 
Habari kwa hisani ya Francis Godwin No comments: