Sunday, August 14, 2011

WAZIRI MKUU AZINDUA UJENZI A NYUMBA ZA MAKAZI MEDELI MJINI DOMOMA


Waziri Mkuu,Mizengo Pinda (katikati) akielekea kuzindua rasmi ujenzi wa nyumba za makazi za Medeli,zilizopo mjini Dodoma leo.kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la nyumba la Taifa (NHC),Nehemia Mchechu,akifuatiwa na Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Prof. Anna Tibaijuka na kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya NHC,Eng. Kesogukewele akifuatiwa na Spika wa Bunge la Jamhuri la Tanzania,Anne Makinda.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akikata utepe kwaajili ya uzinduzi wa ujenzi wa nyumba za makazi za MEDALI,mjini Dodoma leo. (kushoto) Ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. AnnaTibaijuka
Baadhi ya Wazee wa mji wa Dodoma wakifurahia hotuba ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda (hayupo pichani) aliyoitoa wakati akizindua rasmi mradi wa ujenzi wa nyumba za makazi ziliopo MEDALI Dodoma leo.
Wasanii wa kikindi cha Mjomba Band wakitumbuiza katiak sherehe hiyo ya Uzinduzi rasmi wa ujenzi wa nyumba za makazi za MEDALI Dodoma leo.
Baadhi ya watoto waliohudhuria katika uzinduzi rasmi mradi wa ujenzi wa nyumba,za makazi ziliopo eneo la MEDANI Dodoma, Mradi wa ujenzi utagharamiwa na shirika kutokana na mikopo ya kutoka taasisi za fedha za hapa nchini, Mradi huu umebuniwa na shirika la nyumba na lengo lake nii kupunguza tatizo la makazi kwenye mji huu mkuu wa nchi yetu,
(Picha na Mwankombo Jumaa-MAELEZO)

No comments: