Wednesday, August 10, 2011

BREAKING NEWZ ,BASI LA HOOD LAPATA AJALI LAUA

Watu wawili wamedaiwa kufa papo hapo huku wengine zaidi ya 20 wakijeruhiwa vibaya baada ya basi la kampuni ya hood kupata ajali eneo ya Iyovi mpakani mwa mkoa wa Morogoro na Iringa.Taarifa zaidi baadae kidogo

No comments: