Thursday, August 11, 2011

ZIARA YA KUKAGUA MASHINE ZA KUTOTOLESHEA VIFARANGA VYA KUKU VITOKANAVYO NA MAYAI KUTOKA MAREKANI



Mtaalam wa mitambo ya kutotolesha vifaranga kutoka Shirika la Elimu Kibaha, Isdori Chikawe, akimuelekeza jambo Mkurugenzi wa Kampuni ya RRS Family Enterprises ‘Fuga Ufaidike’ Jaqueline Chipanda (Wa kwanza kulia) ufanyaji kazi wa mitambo hiyo. Kwa wiki kampuni hiyo inazalisha vifaranga.
Mkurugenzi wa Kampuni ya RRS Family Enterprises ‘Fuga Ufaidike’ Jaqueline Chipaka (Wa pili kulia) inayomiliki mitambo ya kutotolesha vifaranga aina ya Ross 308 kwa kutumia mayai yanayoingizwa kutoka nchini Marekani akiwaelekeza jambo wafanyakazi wa mitambo hiyo jinsi ya uhifadhi bora wa vifaranga. Wa kwanza kulia ni Mtaalam wa mitambo hiyo Isdori Chikawe.
Mkurugenzi wa Kampuni ya RRS Family Enterprises ‘Fuga Ufaidike’ Jaqueline Chipaka (Kushoto) inayomiliki mitambo ya kutotolesha vifaranga aina ya Ross 308 kwa kutumia mayai yanayoingizwa kutoka nchini Marekani akielekezwa jambo na Mtaalam wa mitambo hiyo Isdori Chikawe.

No comments: