WANANCHI wakipata mahitaji ya futari katika soko la Marikiti Darajani ndizi moja ya mkono wa tembo Sokoni hapo inauzwa shillingi 4000/=.
Matunda nayo hayakamatiki kwa bei
WAKINAMAMA Wafanyabiashara katika soko la Mwanakwerekwe wakipanga viazi Sokoni hapo fungu moja shillingi 2000/=Pi cha na Othman Mapara
Picha Kwa hisani ya Issa Michuzi
No comments:
Post a Comment