Hili Ni Gari Ambalo Linatumia Gesi asilia ili kufanya kazi na Kama linavyooneka katika picha.Gari hili lipo katika banda la Wizara ya Nishati na Madini
Hii Ni sehemu Ya Injini kama inavyoonekana hapa
Huku Ni sehemu ya mitungi ya gesi inapokaa.mara baada ya kuwekwa kwa mfumo wa kutumia gesi asilia.Kwa Kufanya Hivi Kuingia Katika Vituo Vya Mafuta Kwako Ni Mwiko Na Hata Wakigoma au Muathirika na Gari lako litahudhuria barabarani hata kama mafuta yatakuwa hayapatikani tena
Picha kwa hisani ya Lukaza Blog
Picha kwa hisani ya Lukaza Blog
No comments:
Post a Comment