Wednesday, August 10, 2011

HAYA SASA KAZI NI KWAKO HAYA MAGARI YA SERIKALI YANAOZA HAPA INA MAANA HAWAYAONI HAWA WAHUSIKA? AU WANANGOJA YAPIGWE MNADA WANUNUE KWA BEI POA?

 HAYA NI MAPRADO MAPYA KABISA LAKINI YAMELALA HAPA
HAYA NI BAADHI TU YA MAGARI KAMA MNAVYO ONA NAMBA
=============
KATIKA HALI ISIYO YA KAWAIDA HIVI KARIBUNI KAMERA YETU ILIYABAINI MAGARI HAYA YAKIWA YAMEPAKI HUKU MATAIRI YAKIWA YANAENDELEA KUOZA BILA KUPATA MSAADA WOWOTE MAGARI HAYA AMBAYO NI MAPYA KABISA YALIONEKANA ENEO HILO HUKU VIOO VYA MBELE VIKIWA VIMECHAFULIWA NA VINYESI VYA NDEGE NA PIA MAGARI MENGINE HAYO HAYO YA PRADO YAKIWA YAMEENDELEA KUOZA. KAMERA YETU ILIFANYAJITIHADA NA KUPATA UKWELI WA MAGARI HAYO NA BAADHI YA WATU WA ENEO HILO WALIDAI KUWA MAGARI HAYO NI MAPYA NA YAMEKUA HAPO KWA MUDA MREFU YAKINGOJEA HATIMA ISIYO JULIKANA ITAKUA LINI. HATA HIVYO INASIKITISHA KUONA VYOMBO KAMA HIVI VYA GHARAMA KUBWA HAVITUMIWI IPASAVYO.

No comments: