Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma ya Bunge ya Hesbu za Mashirika ya Umma Kabwe Zuberi Zitto akiongea na waandishi wa habari Dodoma Aug,9.2011 kuhusu Kamati yake imemuandikia barua Spika wa Bunge ikimuomba aridhie mapendekezo ya wabunge wataounda kamati ya Bunge chini ya Kamati hii ya Kudumu ya Bunge ya hesabu za Serikali na Mashirika ya Umma, ili ichunguze sakata zima la uuzwaji wa shirika la UDA. |
No comments:
Post a Comment