Wednesday, August 24, 2011

Jairo apokelewa kwa kishindo Wizarani, Wafanyakazi wasukuma gari Ngeleja ashangilia kurejea kwake

Wafanyakazi 
wa Wizara ya Nishati na Madini wakilisukuma gari lililokuwa limembeba
Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bw. David Jairo mara baada ya kuwasili
kwenye ofisi za Wizara hiyo.
Wafanyakazi 
kutoka Idara ya Nishati iliyopo chini ya Wizara ya Nishati na Madini
wakilisukuma kwa nyuma gari lililokuwa limembeba Katibu Mkuu wa Wizara
hiyo Bw David Jairo mara baada ya kuwasili kwenye Ofisi za Wizara hiyo
mapema leo asubuhi.




Wafanyakazi
wa Wizara ya Nishati na Madini wakimpokea Katibu Mkuu wa Wizara hiyo
Bw. David Jairo kwa shangwe mara baada ya kuwasili kwenye ofisi za
Wizara hiyo.
Katibu 
Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Bw. David Jairo akisalimiana na
baadhi ya wafanyakazi wa Wizara hiyo mara baada ya kuripoti mapema leo
asubuhi.
Katibu 
Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Bw. David Jairo akitafakari jambo
mara baada ya kurejea ofisini kwake ili kuendelea na majukumu yake.
Waziri 
wa Nishati na Madini William Ngeleja akiwa amemkumbatia kwa furaha kama
moja ya mapokezi Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bw. David Jairo mara baada
ya kuripoti katika ofisi za Wizara hiyo.
Katibu 
Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini akizungumza na baadhi ya waandishi
wa habari mara baada ya kuripoti ofisini kwake mapema leo asubuhi.



No comments: