Monday, August 15, 2011

JK na Mama Salma Kikwete wawaandalia Madiwani wa Dar Futari Ikulu


Mama Salma Kikwete akitoa zawadi kwa madiwani wanawake wa Dar es salaam katika hafla ya futari waliyoandaa Jumamosi jioni Ikulu jijini
Mama Salma Kikwete akiwa na baadhi ya wageni wake
JK akiongea kuwashukuru madiwani kwa kufika kwenye futari waliyoandaa
JK akimpatia zawadi Mstahiki Meya wa Kinondoni Yusuph Mwenda
JK akisalimiana na madiwani wanawake
Waalikwa wakipakua futari.
Habari kwa hisani ya Michuzi Blog

No comments: