Luhajo amesema kuwa kutokana na uchunguzi uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Lodovick Utoah umeonyesha kuwa tuhuma zilizotolewa bungeni julai 18 hazikuthibitishwa, kutokana na matokeo hayo ya uchunguzi wa awali “mimi kama mamlaka ya nidhamu ya katibu mkuu Nishati na Madini, Bw David Jairo, sitaweza kuendelea na hatua ya pili ya kumpa taarifa ya tuhuma (notice) na hati ya mashitaka kwa sababu bw. Jairo hajapatikana na kosa la kinidhamu (disciplinary offence) kwa mujibu wa taarifa maalum.
Zaidi Click Hapa
No comments:
Post a Comment