Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia Bwana Khamis Abdallah na
mwenzake Mohamed Othman Omari ambao ni walemavu wa viungo muda mfupi
baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Pemba kwa ziara ya kikazi
ya siku mbili.

Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na walemavu Mohamed Othman Omari na
Khamis Said Abdallah muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa
ndege wa Pemba jana jioni.
Picha na Freddy Maro-IKULU

No comments:
Post a Comment