Thursday, August 4, 2011

kutoka bungeni dodoma leo

Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Kisesa Mh. Luhaga Mpina kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda kaizungumza na Mbunge wa Kigoma Mjini Mh. Peter Serukamba (kushoto) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo.


No comments: