OfisaMtendaji Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concept, Juma Pinto (kushoto)akimkabidhi nakala ya hivi karibuni ya jarida la Jambo Tanzania, Katibuwa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye alipotembelea ofisi za kampunihiyo mjini Dar es Salaam,jana. Jambo Concept ndiyo wachapishaji wagazeti la Jambo Leo. Wapili kulia ni Mhariri Mkuu wa Jambo Leo, GodfreyLutego.
No comments:
Post a Comment