Waziri Wizara yaMaendeleo ya Mifungo - Dk. Mathayo David Mathayo akifunga maonyesho ya kilimo nyanda za juu kusini jijini mbeya kwenye kiwanja John Mwakangale |
Waziri David Mathayo akipokea maandamano |
Maandamano yakiwa yanaingia viwanja vya nane nane |
Waziri akipata maelezo toka kwa mkuu wa wilaya Mbeya Evance Balama alipotembelea bada la halmashauri ya wilaya ya mbeya |
Umati mkubwa wa wananchi waliohudhuria maonyesho ya kilimo nane nane nyanda za juu kusini mbeya |
Zawadi mbali mbali zilitolewa kwa washindi |
Moja ya watumishi wa shirika la simu TTCL akipokea cheti cha ushindi wa banda lao katika maonyesho hayo |
Baadhi ya Washindi wakipokea vyeti vyao
Baadhi ya wateja wakipata maelezo katika banda la Vodacom |
Mzee kyando wa kikundi cha huzuni cha baba wa taifa alikuwepo |
Kama kawaida wachina hawakosi katika maeneo haya kuchemkia biashara ya maua |
No comments:
Post a Comment