Tuesday, August 9, 2011

Kuna Mgogoro Mkubwa Wa Ardhi Kijiji Cha Kerege, Bagamoyo



Baadhi ya wananchi wa Kijij icha Kerege, kata ya Kerege, wilayani Bagamoyo wakiwa kwenye shamba wanalodai kuwa ni mali ya kijiji ambalo uongozi wa kijiji umeliuza kwa mwekezaji kinyume na utaratibu. Picha ni leo mchana kijijini hapo wakati mdau Victor Makinda alipokwenda kufuatilia sakata hilo. 
(mjengwablog)


No comments: