Hongera Prince Raphael V. Luvenna
Mr and Mrs Mtwangamatanana Victor Luvenna Pamoja na ndugu jamaa na Marafiki wanapenda kumpongeza kijana wao Raphael V. Luvenna Kwa kutimiza miaka yake Kadhaa siku ya leo, Kwa pamoja tunamtakia maisha mema ya Afya njema
2 comments:
Hongera sana Prince. Love you much Auntie
Hongera kwa mtoto, na kwa wazazi pia
Post a Comment