Saturday, August 6, 2011

Pinda Atembelea Nane Nane Dodoma

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, David mathayo David wakikagua ufugaji wa kuku wa nyama na mayai wa kisasa wakati walipotembelea banda la Balton Tanzania Limited kwenye maonyesho ya Nanenane, Nzuguni, Dodoma Augost 5, 2011.Picha na Ofisi Ya Waziri Mkuu

Waziri Mkuu, MIzengo Pinda na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, David Mathayo David wakitazama ng'ombe wa kisasa wa maziwa katika mashindano ya kitaifa ya mifugo yaliyofanyika kwenye uwanja wa Nanenane, Nzuguni Mjini Dodoma Augost 5, 2011.
Picha na Njegwa Blog

No comments: