Saturday, August 6, 2011

SHIRIKA LA HABARI TANZANIA (SHIHATA) MBEYA LIPO? AU MABANGO TU NA MADUKA YA BIASHARA

Hili ni jengo la shirika la habari Tanzania miaka hiyo ya nyuma kwa sasa haeleweki mmiliki wake na nani anachukua pango la maduka hayo imekua ni kitendawili
ofisi hakuna tena jengo lote limetwawliwa na maduka
Malango huo uliofungwa ni chumba cha mikutano
Hakika majengo yamechoka

No comments: