Monday, August 29, 2011

Rais Kikwete afungua Mkutano wa Kimataifa wa Usafiri wa Anga jijini dar



Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Usafiri wa anga unaofanyika katika hoteli ya Kilimanjaro Kempinski jijini Dar es Salaam.

(photo by Freddy Maro).

No comments: