Friday, August 12, 2011

SOKO LA MWANJELWA JIJINI MBEYA HUWENDA LIKAANZA KUTUMIKA MWAKANI

Soko la Mwanjelwa linaloendelea kujengwa kwa kusuasua huwenda likakamilika mwaka 2012 mwezi wa naneJoseph Mwaisango mwandishi wa Mbeya yetu akipata maelezo toka kwa mmoja wa wasimamizi wa ujenzi huo wasoko la mwanjelwa

Hivi ndivyo litakavyoonekana likikamilika
Na Mwandishi wetu- Joseph Mwaisango


No comments: