Wednesday, August 17, 2011

TIGO YAWAKABIDHI ZAWADI WASHINDI WALIOSHINDA SHINDANO LA JIPANGE KIMAISHA

 Mtaalam wa viwango kutoka Tigo Pamela Shellukindo (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya Tsh. Milioni tano, Bi,Anastazia Edimund mkazi wa Kibaha mshindi wa promosheni ya Jipange Kimaisha inayoendeshwa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo.

 Mtaalam wa viwango kutoka Tigo Pamela Shellukindo (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya Tsh. Milioni tano, Bi,Neema Marandu mshindi wa promosheni ya Jipange Kimaisha inayoendeshwa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo.
Mtaalam wa viwango kutoka Tigo Pamela Shellukindo (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya Tsh. Milioni tano, Bw,Tizo Daniel mshindi wa promosheni ya Jipange Kimaisha inayoendeshwa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo.

No comments: