Thursday, August 18, 2011

Waziri Mkuu Bungeni Leo


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali ya wabunge, Bungeni Mjini Dodoma Augost 18, 2011


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa Kiteto, Benedict Ole- Nangoro (katikati) na Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi kwenye viwanja vya Bunge Mjini Augost 18, 2011.

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job NdugaI (kulia) na Mbunge wa jimbo la Chonga,(kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya sokondari Msalato katika viwanja vya Bunge mjini Dodomaleo.
PICHA NA MAGRETH KINABO MAELEZO.


No comments: