Saturday, September 10, 2011

CCM Wazindua Kampeni Kwa Kishindo Igunga Leo




Katibu mkuu wa CCM, Willson Mukama, akihutubia wananchi wa Igunga leo katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo jimboni hapa.

Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Benjamin Mkapa akimtambulisha mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM, jimbo la Igunga, Dr Dalaly Kafumu leo katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni wa chama hicho.

Dr Kafumu akimwaga sera


Rais Mstaafu na ambaye pia ni mwenyekiti mastaafu wa CCM, Benjamini Mkapa, akihutubia katika mkutano wa Uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi mdogo jimbo la Igunga leo jioni.
Picha zote na Victor Makinda.

No comments: