Thursday, September 8, 2011

CHADEMA wazindua kampeni Igunga leo

Baadhi ya wakazi wa mji wa Igunga na vitongoji vyake, wakiandamana kuelekea katika Uwanja wa Sokoine mjini Igunga, ambako ulifanyika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo la Igunga.
Kuelekea katika Uwanja wa Sokoine mjini Igunga, ambako ulifanyika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo la Igunga.

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Igunga, wakati wa uzinduzi wa kampeni za mchaguzi mdogo wa jimbo la Igunga leo
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokarasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Igunga na vitongoji vyake, wakati wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo hilo leo.
Picha zote na mdau Joseph Senga wa Tanzania Daima

No comments: