Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Fatuma Kimario akizungumza na waandishi wa habari kueleza alivyoshambuliwa na kudhalilishwa na viongozi na wafuasi wa CHADEMA, katika eneo la Isakamaliwa, juzi.
Mkuu wa Wilaya ya Igunga Fatuma Kimario akitoka Ofisini kwake baada ya kuzungumza na waandishi wa habari
Hapa akifafanua jambo wakati akiongea na waandishi wa habari huko Igunga.PICHA ZOTE KWA HISANI YA FULL SHANGWE BLOG
No comments:
Post a Comment