
Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo, Ally Chocky akitoa shoo wakati wa tamasha la kukaribisha maadhimisho ya mika 50 ya Uhuru Nchini yaliyofanyika Viwanja vya Furahisha Jijini Mwanza kupitia kinywaji cha Bia ya Kilimanjaro

Banza Stone akiimba wakati wa tamasha hilo

Wacheza shoo wakicheza wakati wa tamasha hilo

Mcheza shoo, Mwantum akionyesha umahili wake

No comments:
Post a Comment