Saturday, September 17, 2011

LATEST UPDATES: KWAHERI SOKO LA MWANJELWA SIDO MBEYA

Haya ni mabaki ya mabati na vyuma vilivyoteketea kwa moto
Moto bado unaendelea kuwaka taratibu huku watoto wakiokota mabaki ya bidhaa mbali mbali zilizoungua na moto
Vibaka wakitoka na vyuma chakavu katika banda la sido lililoungua kwa moto
Mabaki ya majiko ya mkaa na vigae vyake
Watu wengi wakitazama mabaki ya vitu sokoni hapo
soko limebaki ni uwanja tu hakuna kilichobakia

Jengo la sido mbeya nalo limeteketea kwa moto

No comments: