
Profesa Mwandosya akionekana mwenye furaha baada ya kutembelewa na Maali Seif


Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad (wa tatu kushoto)akiwa na Waziri wa Maji wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Profesa Mark Mwandosya (kushoto) alipokwenda kumjulia hali katika Hospitali ya Apollo, India alikolazwa kwa matibabu. Hamad ambaye yupo India kikazi alifuatana na baadhi ya mawaziri na viongozi wa Serikali ya Zanzibar.
No comments:
Post a Comment