Monday, September 5, 2011

Matukio ya Warembo wa Miss Utalii Tanzania 2011 katika Picha

Warembo wa Miss Utalii Tanzania 2011 wakiwa
katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi.





Warembo wa Miss Utalii Tanzania 2011 wakiwa katika Pwani ya
Bagamoyo.




Warembo wa Miss Utalii Tanzania 2011
wakionyesha utamaduni wa kazi za mikono.




Meneja wa Aleys Tours akionyesha kadamnasi
zawadi ya Miss Utalii Tanzania 2011.Kwa Hisani Ya Daily Mitikasi Blogu

No comments: