Saturday, September 24, 2011

MBWA AINGIA UWANJANI... HII YA MWAKA

Mbwa aliyekata kamba na kuingia uwanjani kwenye mechi ya Simba na Toto Africa ya Mwanza na kuanza kumfukuza mchezaji wa Simba wakati huo Simba ilikua mbele ya goli 3-1 na baada ya mbwa kuingia uwanjani,Toto Africa walifunga magoli 2 na kupelekea mpira kuisha 3-3
(picha kwa hisani ya Global publishers)

No comments: