Saturday, September 24, 2011

CHADEMA YACHANGISHA MCHANGO KWAAJILI YA KUMKOMBOA KADA WAKE ALIYECHANA PICHA ZA CCM HUKO IRINGA

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Chiku Abwao (chadema)akionyesha fedha zaidi ya Tsh. 117,000 ili kulipa faini ya shilingi laki moja ambazo kada huyo wa Chadema alishindwa kulipa na kulazimika kwenda jela kuanza kutumikia miezi mitatu kama alivyohukumiwa na mahakama ya Mwanzo jana
Mbunge Abwao akionyesha kadi za wana CCM 12 waliojiunga na Chadema leo katika mkutano wa kampeni za Udiwani kata ya Miyomboni Kitanzini leo eneo la Soko kuu

Kadi zilizorejeshwa na wana CCM kwa Chadema leo
Vijana zaidi wakisikiliza mkutano wa kampeni za Chadema leo japo idadi si kama ile ya CCM
Picha zote na Francis Godwin

No comments: