Tuesday, September 6, 2011

MGOMBEA WA CCM AREJESHA FOMU IGUNGA

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM, jimbo la Igunga, Dk. Dalaly Kafumu (kulia) akimkabidhi fomu yake kwa Msimamizi wa Uchaguzi jimbo hilo, Magayane Protace leo katika Ofisi za Halmashauri ya wilaya ya Igunga mkoani Tabora.
BADHI ya walimu waliokuwa wakipata utaratibu kwa ajili ya kwenda kwenye vituo vyao kusimamia mitihani ya darasa la saba wakimsalimia mgombea wa Ubunge kwa tiketi ya CCM, Dk. Dalaly Kafumu, alipokutana nao wakati akitoka kurejesha fomu yake kwa Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Igunga mkoani Tabora, leo.

No comments: