Friday, September 30, 2011

MKAPA ATINGA TENA IGUNGA LEO, KUFUNGA KAMPENI ZA CCM KESHO

Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa leo alifika mjini Igunga kwa ajili ya kufunga kampeni za CCM kesho kwenye Viwanja vya Sokoni, Kata ya Nkinga. Pichani, Mkapa akiwasili kwenye hotel ya Peak mjini Igunga leo jioni.. .
Wakereketwa wa CCM awakimlaki alipowasili jimboni Igunga leo.
(Picha na Bashir Nkoromo)

No comments: