Tuesday, September 6, 2011

Mzee Ajeruhiwa Vibaya na na Mnyama aitwae Nyegere.

Mzee Ikaku Jingu mkazi wa kijiji cha Nkhoiree Tarafa ya Ihanja wilayani Singida,akiwa wodini katika hospitali ya mkoa wa Singida akionesha mikono yake ilivyojeruhiwa vibaya na mnyama aitwae Nyegere. 
Picha kwa Hisani ya Haki Ngowi Blog

No comments: