Saturday, September 17, 2011

NAPE AWAHUTUBIA WANANCHI WA SINGIDA NA IRAMBA

Nape akihutubia mkutano wa hadhara katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo la Urughu wilaya ya Iramba mkoani Singida.
Mashabiki wa CCM wakishangilia wakati wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Udiwani Kata ya Urughu wilayani Iramba mkoani Singida, jana.
Kwa Picha Zaidi BOFYA HAPA

No comments: