KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC)ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akizungumza na mabalozi wa nyumba kumi wa CCM wa tawi la Kiongera kata ya Suzuni wilaya ya Tarime mkoani Mara.
NAPE wa pili kulia, akipokea kadi na bendera kutoka kwa wanachama wa CHDEMA waliamua kujiunga na CCM wakati wa mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Nyabirongo Kijiweni kata ya Suzuni, Tarime mkoani Mara. Kutoka kushoto ni Juma Marwa, Amos Marwa na John Wanguru. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa wilaya ya Tarime, Bogomba Chichake.
NAPE akiwasha mwenge alipowasili Kijiji cha mpakani kati ya Tarime na Rorya cha Bakwe, kuanza ziara wilayani Rorya
NAPE akimnadi mgombea udiwni wa kata ya Nyahongo kwa tiketi ya CCM, Mussa Aago, wakati wa mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Omoche, wilaya ya Rorya mkoani Mara.
NAPE akihutubia mkutano wa kampeni Kijiji cha Nyabirongo Kijiweni.
Picha Zote na Bashir Nkromo-Tarime
Picha Zote na Bashir Nkromo-Tarime
No comments:
Post a Comment