Thursday, September 29, 2011

Ni Mwendo Wa Helikopta igunga

Helikopta iliyokodishwa Chadema, ikipita juu ya Anga ya Igunga baada ya kuwasili jana alasili kwa ajili ya mikutano ya mwisho ya kampeni ya chama hicho.
Helikopta ya iliyokodishwa na CCM ikitua katika uwanja wa Sabasaba mjini Igunga jana kwa ajili ya kampeni za mwisho za chama hicho.
Helkopta ya itakayotumiwa na mgombea wa Chama cha Wananchi (CUF) ikiwasili katika uwanja wa Barafu uliopo Igunga Mjini kwa ajili ya kampeni za mgombea ubunge katika jimbo hilo jana.
Mwenyekiti wa Chama cha Chadema Freeman Mbowe akihutubia mkutano wa kampeni katika Kata ya Nkinga wa kuwania kiti cha Ubunge cha jimbo la Igunga baada ya kuwasili na Helkopta jana.
Picha na Fidelis Felix



No comments: