katibu mwenezi wa Chadema kata ya Kitanzini Miyomboni Lucy Ilomo (mwenye gauni ya kijani ) akitoa kituo cha polisi baada ya kuachiwa kwa dhamana leo
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Chadema Chiku Abwao akitoka katika jukwaa la kampeni za CCM ambako alikwenda kutaka kuvuruga mkutano huo hadi katibu wake atolewe polisi kwa madai kuwa kukamatwa kwake ni njama za CCM
hapa Chiku akivutana na makada wa CCM katika jukwaa la kampeni za udiwani za CCM ,ambako alikwenda kutaka katibu mwenezi wake kata ya Kitanzini Lucy Ilomo kuachiwa huru kwa tuhuma za kuchana mabango ya mgombea wa CCM
Makada wa CCM wakijaribu kumwondoa Chiku Abwao wa Chadema katika mkutano wa CCM
Chiku Abwao kushoto akiwa na Lucy Ilomo baada ya kuachiwa kwa dhamana leo
Picha na Francis Godwin
No comments:
Post a Comment