Tuesday, September 13, 2011

Pinda atoa mkono wa pole kwa msiba wa Taifa zanzibar

Rais wa Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein akizungumza na waziri Mkuu Mh Mizengo
Pinda Mjini Zanzibar Septemba 12,2011 wakati alipokwenda kumpa pole kufuatia vifo
vya watu  197  vilivyosababishwa na ajali ya kuzama meli



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanziabr, Balozi Seif Idd  wakati alipokwenda Ofisini kwake Mjini Zanzibar Septemba 12, 2011 alipokwenda kumpa pole kufuatia vifo vya watu 197 vilivyosababishwa na ajali ya meli  
(Picha na mdau Hilary Bujiku wa Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: