Friday, September 23, 2011

Rais Jakaya Kikwete Ahutubia Baraza La Umoja Wa Mataifa Nakukutana Na Kiongozi Wa Serikali ya Mpito Nchini Libya

Rais Jakaya Kikwete akihutubia Mkutano wa 66 wa Umoja wa Mataifa jijini New York jana
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na kiongozi wa serikali ya mpito ya Libya Bw. Mustafa Abdel-Jalil jijini New York Marekani ambako wote wanahudhuria mkutano wa 66 wa Umoja wa Mataifa
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika maongezi mafupi na kiongozi wa serikali ya mpito ya Libya Bw. Mustafa Abdel-Jalil

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtabulisha Balozi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa Mh Ombeni Sefue kwa kiongozi wa serikali ya mpito ya Libya Bw. Mustafa Abdel-Jalil.Picha na IKULU



No comments: