Sunday, September 11, 2011

Sarha Israel ndie Vodacom Miss Tanzania 2011

Vodacom Miss Tanzania,Sarha Israel (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mshindi wa Pili,Tracy Sospeter (kulia) na mshindi wa tatu,Alexia William mara baada ya kutangazwa usiku huu kwenye ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar.
Vodacom Miss Tanzania aliemaliza muda wake,Genavive Mpangala akimvisha taji la ushindi wa Vodacom Miss Tanzania,Sarha Israel mara baada ya kutangazwa hivi punde.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare akimpongeza Salha Israel na kumkabidhi gari yake aina ya Jeep alilodhawadiwa mara baada ya kuchukua taji la Vodacom Miss Tanzania 2011
 Vodacom Miss Tanzania Salha Israel akionyesha funguo wa gari lake y mara baada ya kukabidhiwa rasmi na Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare
Hichi ndicho kiti Vodacom Miss Tanzania 2011 Salha Israel alikuwa alitaka kukikalia sasa yametimia..


 

No comments: